Upendo Daima - Mradi wa Watoto wa Mitaani Tanzania

The cart is empty
["\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_1_20130225_1380602795.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_2_20130225_1915094524.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_3_20130225_1269161720.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_4_20130225_1203900127.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_5_20130225_1696649307.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_6_20130225_1470469504.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_7_20130225_1778566945.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_8_20130225_1522298131.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_9_20130225_1837204428.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_10_20130225_1305918366.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_11_20130225_1235579240.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_12_20130225_1103703416.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_13_20130225_1614865694.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_14_20130225_1269038727.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_15_20130225_1817561193.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_16_20130225_1232435165.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_17_20130225_1134651688.jpg"]

Gari Mpya

Septemba 2017,

MIVA imeweza kutusaidia/imetufadhiri gari mpya aina ya Nisssan bodi ngumu (hard Body) pick up 4x4 yenye milango minne.

auto auto2

Upendo Daima wanashukuru sana kwa mchango wa ukarimu walioupata kutoka MIVA pia wanajivunia kuwa wa miliki wa gari hiyo.  Na katikati  ya mwezi wa Tisa mwaka huu Upendo Daima wameweza kuichukua kutoka katika bandari ya Dar Es Salaam. 

Gari hiyo itatumika kwa ajili ya ziara za kutemebelea familia za watoto. Hivyo basi tutaweza kufanya kazi hiyo kwa ufanisi zaidi na hasa zile familia zilizopo nje ya mji wa Mwanza.

 

Habari za Hivi Karibuni

  • Asanteni sanaMatokeo ya pili ya wafadhili wa riadha yaliyoandaliwa na wanafunzi kutoka katika shule ya Lise Meitner huko Moordeich Ujerumani yalizidi matarajio yaliyotegemewa:Wanafunzi 367 wa daras...
  • Octoba 28, 2017 Jina langu ni Mara le Mahieu Miaka minne iliyopita nilijiunga na Upendo Daima kama Mlei wa Misionari kutoka SMA. Ilikuwa fursa nzuri sana kwangu ya kufanya kazi na...
  • Octoba 2017 Naitwa Asteria Sylivester Manyasi Umri wangu ni miaka 53, mimi ni mjane, nina watoto sita. Wa kiume ni wawili, na wakike ni wanne.    Ni...
  • Octoba, 2017 Naitwa Paulo Sylvester Lughali, umri wangu ni miaka 58,Nimeoa na nina watoto kumi, wa kiume watano na wakike watano. Nimekuwa mfanyakazi wa Upendo Daima tangu julai mw...

Back Home House

Malimbe Family