Upendo Daima - Mradi wa Watoto wa Mitaani Tanzania

["\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_1_20130225_1380602795.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_2_20130225_1915094524.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_3_20130225_1269161720.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_4_20130225_1203900127.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_5_20130225_1696649307.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_6_20130225_1470469504.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_7_20130225_1778566945.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_8_20130225_1522298131.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_9_20130225_1837204428.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_10_20130225_1305918366.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_11_20130225_1235579240.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_12_20130225_1103703416.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_13_20130225_1614865694.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_14_20130225_1269038727.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_15_20130225_1817561193.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_16_20130225_1232435165.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_17_20130225_1134651688.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/teambuilding2_1_20180221_1520592193.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/teambuilding_1_20180221_2070968253.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_1_20180221_1377088869.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_2_20180221_1506278386.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_3_20180221_1738804695.jpg"]

Tanzania

Upendo daima: Ni shirika la watoto wa mtaani lililo chini ya Jimbo Kuu la Mwanza. Tunapata watoto kutoka mtaani na kuwatunza kwa upendo.

Mbiu: Atalilisha kundi lake kama mchungaji, atawakusanya wana-kondoo mikononi mwake; Na kuwachukua kifuani mwake. Mimi mwenyewe nitawalisha kondoo zangu, kwa kuwa wengine watawapoteza. Isaya

Wito: Kuwaunganisha watoto na familia zao tena kwa kutumia ushauri nasaha na misaada mingine pamoja na kuwapatia makazi. 

Historia: Mtawa wa Masista Wamisionari wa Mama Yetu wa Africa alianzisha shirika hili mwaka 1995. Mwaka 2000, Marga van Barschot alianza kama mlei wa Shirika la African Missions akiwa kama mratibu wa mradi. Kabla ya kwenda Africa, alifanya kazi nchini Uholanzi ya kuongoza vijana. Baadaye alimua kutumia ujuzi huu na upendo wake kwa watoto wa Tanzania. 

Utawala: Mradi sasa umekua kuwa shirika lenye wafanyakazi 22 Watanzania wakiwemo mtoa ushauri, mfundishaji, mwalimu, mpishi, mtunza bustani, muuguzi na mlinzi. Mwaka 2016 Marga alistaafu.

Uongozi wa Upendo Daima sasa unaundwa na:                                                                

Shughuli: Wafanyakazi wa Upendo Daima huenda mtaani kujaribu kukutana na watoto na kujenga uhusiano nao. Kwa kuwa shirika lina makazi Back Home House, mawasiliano na watoto huimarishwa kabla ya msaada halisi kutolewa. Lengo kuu ni kuwaunganisha watoto tena na familia zao na kuwasaidia watoto katika maendeleo ya kwa kadiri inavyowezekana. Mara baada ya watoto kuwasili Back Home House, wafanyakazi pamoja na watoto hao huanza kutafuta mawasiliano na familia zao. Pia huhakikisha mawasiliano na viongozi wa jamii yanakuwepo.

 

Haiwezekani kumrudisha kila mtoto kwa wazazi au familia yake. Kwa hiyo, Malimbe Familia ilijengwa kwa sababu hiyo. Watoto waishio Malimbe Familia huenda shuleni na kupata malezi kama ambavyo kila mtoto anastahili. Watoto husaidiwa kujifunza kujitegemea na pia hujifunza ujuzi fulani ili waweze kkujipatia riziki zao. 

 

Habari za Hivi Karibuni

  • March 2019 Twee weken lang acties voor Upendo Daima bij Montessori school Tuinstad Schiebroek te Rotterdam. De tienjarige Ruben en zijn vrienden voelen zich nauw betrokken bij het wel e...
  • Januari 5, 2018 wafanyakazi wa UD walikwenda kwa hafla ya mapumziko na kuimarisha ushirikiano katika mwambao wa ziwa Victoria Mwanza panaitwa Avashi, yapata km 5 kutoka Malimbe Family. Lengo ...
  • Asanteni sanaMatokeo ya pili ya wafadhili wa riadha yaliyoandaliwa na wanafunzi kutoka katika shule ya Lise Meitner huko Moordeich Ujerumani yalizidi matarajio yaliyotegemewa:Wanafunzi 367 wa daras...
  • Octoba 28, 2017 Jina langu ni Mara le Mahieu Miaka minne iliyopita nilijiunga na Upendo Daima kama Mlei wa Misionari kutoka SMA. Ilikuwa fursa nzuri sana kwangu ya kufanya kazi na...

Back Home House

Malimbe Family