Upendo Daima - Mradi wa Watoto wa Mitaani Tanzania

["\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_1_20130225_1380602795.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_2_20130225_1915094524.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_3_20130225_1269161720.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_4_20130225_1203900127.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_5_20130225_1696649307.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_6_20130225_1470469504.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_7_20130225_1778566945.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_8_20130225_1522298131.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_9_20130225_1837204428.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_10_20130225_1305918366.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_11_20130225_1235579240.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_12_20130225_1103703416.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_13_20130225_1614865694.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_14_20130225_1269038727.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_15_20130225_1817561193.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_16_20130225_1232435165.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_17_20130225_1134651688.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/teambuilding2_1_20180221_1520592193.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/teambuilding_1_20180221_2070968253.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_1_20180221_1377088869.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_2_20180221_1506278386.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_3_20180221_1738804695.jpg"]

Uholanzi

Upendo Daima Nederland

Ili kumsaidia Upendo Daima ya wafanya kazi wa watoto wa mitaani, shirika la "Stichting Upendo Daima Nederland" lilianzishwa mwaka 2004.

Malengo:
Lengo la Stichting Upendo Daima Nederland ni kutoa msaada wa hali na mali kwa mradi huo.

Shughuli:

 • Kutoa habari mashuleni, makanisani na kwenye vikundi vingine kuhusu hali ya watoto wa mitaani Mwanza na namna Upendo Daima linavyosaidia watoto hawa.
 • Kuandaa na kusambaza majarida kwa wafadhili, wadhamini na wadau wengine,  kuitunza tovuti (www.upendodaima.nl) na Facebook ya Upendo Daima.
 •  Kushiriki katika mitandao ya mashirika yenye lengo kama letu ili kubadilishana uzoefu na kusaidiana.
 •  Kutoa maelezo na kuwahamasisha watu binafsi na makampuni ili kutoa msaada wa kifedha kwa mradi wa Upendo Daima.
 • Kuandaa mapendekezo ya miradi na kudumisha mawasiliano na mashirika wafadhili na maendeleo katika Uholanzi , kwa lengo la kupata msaada wa kifedha kwa ajili ya mradi na kupokea maoni.

Uongozi
Timu ya uongozi inaundwa na:

 • ​Jan van Bergen                            Mweka hazina
 • Ite van Aardenne                          Katibu

Wanachama wa timu ya usimamizi hufanya kazi hii yote kwa kujitolea. Vinginozi hawa hutumia gharama zao wenyewe kuiendesha Upendo Daima nchini Uholanzi.

Shirika limesajiliwa Utrecht kwa namba: 30199343

Habari za Hivi Karibuni

 • March 2019 Twee weken lang acties voor Upendo Daima bij Montessori school Tuinstad Schiebroek te Rotterdam. De tienjarige Ruben en zijn vrienden voelen zich nauw betrokken bij het wel e...
 • Januari 5, 2018 wafanyakazi wa UD walikwenda kwa hafla ya mapumziko na kuimarisha ushirikiano katika mwambao wa ziwa Victoria Mwanza panaitwa Avashi, yapata km 5 kutoka Malimbe Family. Lengo ...
 • Asanteni sanaMatokeo ya pili ya wafadhili wa riadha yaliyoandaliwa na wanafunzi kutoka katika shule ya Lise Meitner huko Moordeich Ujerumani yalizidi matarajio yaliyotegemewa:Wanafunzi 367 wa daras...
 • Octoba 28, 2017 Jina langu ni Mara le Mahieu Miaka minne iliyopita nilijiunga na Upendo Daima kama Mlei wa Misionari kutoka SMA. Ilikuwa fursa nzuri sana kwangu ya kufanya kazi na...

Back Home House

Malimbe Family