Upendo Daima - Mradi wa Watoto wa Mitaani Tanzania

["\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_1_20130225_1380602795.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_2_20130225_1915094524.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_3_20130225_1269161720.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_4_20130225_1203900127.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_5_20130225_1696649307.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_6_20130225_1470469504.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_7_20130225_1778566945.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_8_20130225_1522298131.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_9_20130225_1837204428.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_10_20130225_1305918366.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_11_20130225_1235579240.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_12_20130225_1103703416.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_13_20130225_1614865694.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_14_20130225_1269038727.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_15_20130225_1817561193.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_16_20130225_1232435165.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_17_20130225_1134651688.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/teambuilding2_1_20180221_1520592193.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/teambuilding_1_20180221_2070968253.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_1_20180221_1377088869.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_2_20180221_1506278386.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_3_20180221_1738804695.jpg"]

Leerlingen Montessori School Tuinstad Schiebroek voeren actie voor Upend Daima

March 2019

Twee weken lang acties voor Upendo Daima bij Montessori school Tuinstad Schiebroek te Rotterdam.

De tienjarige Ruben en zijn vrienden voelen zich nauw betrokken bij het wel en wee van de straatkinderen en de activiteiten van Upendo Daima.

Zij hebben daarom een projectweek georganiseerd op school. Donderdag 7 maart gaven zij een presentatie in alle 13 klassen. De leerlingen van 4 tot 12 jaar gaan nu geld inzamelen en de onderwijzers gaan de kinderen leren over Afrika.

Hoogtepunt wordt een sponsorloop voor alle kinderen van de school.

&nbsp...

Soma zaidi...

Hafla ya mapumziko na kuimarisha ushirikiano

Januari 5, 2018 wafanyakazi wa UD walikwenda kwa hafla ya mapumziko na kuimarisha ushirikiano katika mwambao wa ziwa Victoria Mwanza panaitwa Avashi, yapata km 5 kutoka Malimbe Family.

Lengo la siku hii ilikuwa kupumzika na kuwa na mazungumzo yasiyo rasmi. Katika siku hiyo pia wafanyakazi waliweza kuwa na muda maalumu wa kushirikishana mafanikio, mapungufu  na changamoto katika kufanya kazi kwa mwaka 2017 na mawazo mbalimbali ya kuwawezesha kuendelea kufanya kazi vema. Hakika ilikuwa siku ya manufaa sana. Hafla hii hufanyika mwanzoni mwa mwaka pindi hari ya kiuchumi...

Soma zaidi...

Moordeich Mdhamini wa riadha

Asanteni sanaMatokeo ya pili ya wafadhili wa riadha yaliyoandaliwa na wanafunzi kutoka katika shule ya Lise Meitner huko Moordeich Ujerumani yalizidi matarajio yaliyotegemewa:Wanafunzi 367 wa darasa la tano hadi la saba wakike na wakiume walikamilisha kukikimbia riadha jumla ya kilomita 4,381 na hivyo walifanikiwa kupata kiasi cha € 11,979 kwa ajili ya nia njema. Kila mwanafunzi alimtafuta mdhamini ambaye alipaswa kumlipia kiasi kilichokubaliwa kwa kila kilometa 800. Mkimbia riadha mwenye uthubutu zaidi alikimbia mizunguko 24 kiasi cha takribani 19.2 km.

sponsorloop

Mwalimu Cornelia...

Soma zaidi...

Kwa Heri Mara le Mahieu

Octoba 28, 2017

Jina langu ni Mara le Mahieu

Miaka minne iliyopita nilijiunga na Upendo Daima kama Mlei wa Misionari kutoka SMA.

Ilikuwa fursa nzuri sana kwangu ya kufanya kazi na watoto na wafanyakazi kutoka Upendo Daima. Wote wamefanya mimi kujisikia nipo  nyumbani, tangu siku ya kwanza ambapo sikujua maneno mengi  ya Kiswahili zaidi ya "Hello" (jambo) na "Thank you" (Asante).

  Mara4 mara5 mara6

Nikiwa Upendo Daima nimefanya kazi katika majukumu mbalimbali. Nilianza kama msaidizi wa ofisi na mwalimu kwa watoto. Baada ya...

Soma zaidi...

Kumi na nne Watimu Ya Yetu

Octoba 2017

Naitwa Asteria Sylivester Manyasi

Umri wangu ni miaka 53, mimi ni mjane, nina watoto sita. Wa kiume ni wawili, na wakike ni wanne.

Asteria asteria1 asteria2

Nimekuwa mfanyakazi wa Upendo Daima tangu mwaka 2009.Taaluma yangu ni upishi, lakini pia nimekuwa nikifanyakazi kama mlezi wa watoto. Majukumu yangu ni kuhakikisha chakula kinaiva kwa wakati, na...

Soma zaidi...

Kumi na Tatu Watimu Ya Yetu

Octoba, 2017

Naitwa Paulo Sylvester Lughali, umri wangu ni miaka 58,Nimeoa na nina watoto kumi, wa kiume watano na wakike watano.

Nimekuwa mfanyakazi wa Upendo Daima tangu julai mwaka 2009.Taaluma yangu ni ualimu,Upendo Daima nimekuwa nikifanyakazi kama Socialworker na ndiye mkuu wa kitengo cha Elimu ya msingi.

lughali1 lughali lughali2

Majukumu yangu kwasasa ni kupokea na...

Soma zaidi...

Kumi na mbili Watimu Ya Yetu

Octoba, 2017

Naitwa Nicodemo Hongoa, umri wangu ni miaka 38, nimeoa na nina watoto wanne wote wa kiume.

Nimekuwa mfanyakazi wa Upendo Daima tangu mwaka 2006.Taaluma yangu ni ufundi bomba,lakini Upendo Daima nimewahi fanyakazi kama mlinzi,kwa kipindi kingine nikafanya kazi kama msimamizi wa mazingira,na kwasasa nafanyakazi kama Patron.Pia nafanya ushauri kwa watoto ili wafuate...

Soma zaidi...

Gari Mpya

Septemba 2017,

MIVA imeweza kutusaidia/imetufadhiri gari mpya aina ya Nisssan bodi ngumu (hard Body) pick up 4x4 yenye milango minne.

auto auto2

Upendo Daima wanashukuru sana kwa mchango wa ukarimu walioupata kutoka MIVA pia wanajivunia kuwa wa miliki wa gari hiyo.  Na katikati  ya mwezi wa Tisa mwaka huu Upendo Daima wameweza kuichukua kutoka katika bandari ya Dar...

Soma zaidi...

Kumi na moja Watimu Ya Yetu

Septemba 2017,

Mimi Lweganwa Kamoli Ng’oko, nilizaliwa mwaka 1961 katika wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza. Nilihitimu elimu ya msingi katika shule ya msingi Bulamba mwaka 1979. Nimeoa na nina watoto nane.

kamoli_3kamoli_2kamoli_1

Ninafanya kazi Upendo Daima, kazi kama patron, kocha pamoja na kujishughulisha na shughuli za watoto mtaani. Nimefanya kazi  Upendo Daima kwa muda wa miaka mitano...

Soma zaidi...

Kumi Watimu Ya Yetu

Septemba, 2017

Ninaitwa Christinata Mesamoyo Komba nimeanza kufanya kazi na watoto na vijana wa mitaani tangu mwaka 2001. Ninafanya kazi na Upendo Daima katika idara ya ushauri wa watoto na familia.

cristicounceling 1Cristinata

Kuwa mtaalamu katika idara hii ya ushauri nimehudhuria kozi kadhaa za kujenga uwezo ikiwa ni pamoja na:

  1. Maendeleo ya kawaida ya Watoto, Hatari na Mambo ya Kinga kwa...

Soma zaidi...

Actie voor Upendo Daima

Er is een fantastische actiegeweest in Zennewijnen met een opbrengst van maar liefst 5784 euro.

12 dagen lang was er een boekenmarkt in de tuin van een van de vrijwilligers

Er zijn erg veel boeken verkocht en zoveel meer mensen zijn nu op de hoogte van het straatkinderen project.

zennewijnen2 Zennewijnen 1 zennewijnen4 presentatie vrijwilligers

Ook waren er presentaties voor alle vrijwilligers die zich al zoveel...

Soma zaidi...

De Wilde Ganzen

Sinds juni 2017 zijn we een samenwerking aangegaan met de Wilde Ganzen.

Wilde Ganzen

 

De bedoeling van de samenwerking is dat we meer aandacht kunnen geven aan de kinderen van Malimbe Family zodat we hen sneller kunnen integreren. Wij vinden dat kinderen indien mogelijk het beste af zijn thuis bij hun famillie.

Wilde Ganzen ondersteunt ons met deze visie en werkwijze. We...

Soma zaidi...

Nane Watimu Ya Yetu

Mwezi Saba 2017

Jina langu ni Ally Omoyo Awamu, nina miaka 23. Katika miaka kadhaa iliyopita mimi nilikuwa miongoni mwa watoto wa mitaani Tanzania. Nimekuwa mtaani kwa zaidi ya miaka 5 katika maeneo mbalimbali ndani ya jiji la Mwanza na nje ya mji wa Mwanza Tanzania.

Ally Ally 3 Ally 5

Kwa bahati nzuri siku moja wakati nikiwa mitaani, macho ya shirika la  Upendo Daima ambao...

Soma zaidi...

Afisa Fedha na Msaidizi wa Utawala

Mwezi ya tano 2017,

Mimi ni Patricia Paul Buswage kutoka jiji la Mwanza. Nimefanya shahada ya uzamili kutoka chuo kikuu cha Mt. Augustine Mwanza, Tanzania. Nimefanya kazi ya Afisa Fedha hapa Upendo Daima kwa kipindi cha miaka minne. Nikiwa hapa Upendo Daima nimepata mafunzo ya kozi mbalimbali na mafunzo ya kitaaluma kama vile uhandishi wa miradi pamoja na usimamizi wa fedha. Kifupi...

Soma zaidi...

Habari za Hivi Karibuni

  • March 2019 Twee weken lang acties voor Upendo Daima bij Montessori school Tuinstad Schiebroek te Rotterdam. De tienjarige Ruben en zijn vrienden voelen zich nauw betrokken bij het wel e...
  • Januari 5, 2018 wafanyakazi wa UD walikwenda kwa hafla ya mapumziko na kuimarisha ushirikiano katika mwambao wa ziwa Victoria Mwanza panaitwa Avashi, yapata km 5 kutoka Malimbe Family. Lengo ...
  • Asanteni sanaMatokeo ya pili ya wafadhili wa riadha yaliyoandaliwa na wanafunzi kutoka katika shule ya Lise Meitner huko Moordeich Ujerumani yalizidi matarajio yaliyotegemewa:Wanafunzi 367 wa daras...
  • Octoba 28, 2017 Jina langu ni Mara le Mahieu Miaka minne iliyopita nilijiunga na Upendo Daima kama Mlei wa Misionari kutoka SMA. Ilikuwa fursa nzuri sana kwangu ya kufanya kazi na...

Back Home House

Malimbe Family