Upendo Daima - Mradi wa Watoto wa Mitaani Tanzania

["\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_1_20130225_1380602795.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_2_20130225_1915094524.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_3_20130225_1269161720.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_4_20130225_1203900127.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_5_20130225_1696649307.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_6_20130225_1470469504.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_7_20130225_1778566945.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_8_20130225_1522298131.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_9_20130225_1837204428.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_10_20130225_1305918366.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_11_20130225_1235579240.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_12_20130225_1103703416.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_13_20130225_1614865694.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_14_20130225_1269038727.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_15_20130225_1817561193.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_16_20130225_1232435165.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_17_20130225_1134651688.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/teambuilding2_1_20180221_1520592193.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/teambuilding_1_20180221_2070968253.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_1_20180221_1377088869.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_2_20180221_1506278386.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_3_20180221_1738804695.jpg"]

Kuhusu Patricia Paul Buswage

Jina langu ni Patricia Paul Buswage, mhasibu wa Upendo Daima kuanzia Aprili 2013.

Hivi karibuni nilihitimu SAUT ambapo nilitunukiwa MBA katika Fedha na Uhasibu.

Patricia BuslagePatricia UD

Ninaifahamu Upendo Daima kwa miaka 5 sasa kwa kuwa nilisomea SAUT pale karibu na Malimbe Family. Ninapenda sana kufanya kazi na watoto.

Hapa Upendo Daima nina majukumu mengi kama vile utunzaji wa fedha, ununuzi, uangalizi wa mali za shirika na kuandaa maombi ya fedha kwa ajili ya miradi. Ninaandaa malengo ya muda mfupi na ya muda mrefu kwa ajili ya kituo na pia ninasimamia utekelezaji wake; ninaweka mipango ya ukaguzi na uthibiti wa fedha na pia ninachukua tahadhari kuzuia ubadhirifu na uzembe. Ninaandaa maelekezo ya bajeti  yanayotumiwa na vituo vyote na kuhakikisha kuwa maelekezo hayo yanafuatwa. Yote haya hufanywa kufuatana na maelekezo ya wafadhali.

Kwa sasa nimejiunga na kundi la Uhasibu la Mwanza  ambapo hufuata semina na mafunzo mbalimbali juu ya uhasibu na utunzaji wa fedha.

Lengo langu ni kufanya kazi kama  mshauri wa kimataifa katika mambo ya fedha na uangalizi wa miradi; utawala yakinifu; uandaaji wa rasimu za maombi fedha na usimamiaji na uhakiki.

Kwa maelezo zaidi tafdhali nifuate kwenye LinkedIn, Patricia Paul Buswage

Habari za Hivi Karibuni

  • March 2019 Twee weken lang acties voor Upendo Daima bij Montessori school Tuinstad Schiebroek te Rotterdam. De tienjarige Ruben en zijn vrienden voelen zich nauw betrokken bij het wel e...
  • Januari 5, 2018 wafanyakazi wa UD walikwenda kwa hafla ya mapumziko na kuimarisha ushirikiano katika mwambao wa ziwa Victoria Mwanza panaitwa Avashi, yapata km 5 kutoka Malimbe Family. Lengo ...
  • Asanteni sanaMatokeo ya pili ya wafadhili wa riadha yaliyoandaliwa na wanafunzi kutoka katika shule ya Lise Meitner huko Moordeich Ujerumani yalizidi matarajio yaliyotegemewa:Wanafunzi 367 wa daras...
  • Octoba 28, 2017 Jina langu ni Mara le Mahieu Miaka minne iliyopita nilijiunga na Upendo Daima kama Mlei wa Misionari kutoka SMA. Ilikuwa fursa nzuri sana kwangu ya kufanya kazi na...

Back Home House

Malimbe Family