Upendo Daima - Mradi wa Watoto wa Mitaani Tanzania

["\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_1_20130225_1380602795.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_2_20130225_1915094524.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_3_20130225_1269161720.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_4_20130225_1203900127.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_5_20130225_1696649307.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_6_20130225_1470469504.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_7_20130225_1778566945.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_8_20130225_1522298131.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_9_20130225_1837204428.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_10_20130225_1305918366.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_11_20130225_1235579240.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_12_20130225_1103703416.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_13_20130225_1614865694.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_14_20130225_1269038727.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_15_20130225_1817561193.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_16_20130225_1232435165.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_17_20130225_1134651688.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/teambuilding2_1_20180221_1520592193.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/teambuilding_1_20180221_2070968253.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_1_20180221_1377088869.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_2_20180221_1506278386.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_3_20180221_1738804695.jpg"]

Kumi Watimu Ya Yetu

Septemba, 2017

Ninaitwa Christinata Mesamoyo Komba nimeanza kufanya kazi na watoto na vijana wa mitaani tangu mwaka 2001. Ninafanya kazi na Upendo Daima katika idara ya ushauri wa watoto na familia.

cristicounceling 1Cristinata

Kuwa mtaalamu katika idara hii ya ushauri nimehudhuria kozi kadhaa za kujenga uwezo ikiwa ni pamoja na:

  1. Maendeleo ya kawaida ya Watoto, Hatari na Mambo ya Kinga kwa ajili ya maendeleo ya watoto na unyanyasaji wa watoto.
  2. Ushauri wa kisaikolojia kwa yatima na watoto walio katika mazingira magumu.
  3. Tiba ya Sanaa na Usimamizi wa Ushiriki wa Watu
  4. Watoto na vijana katika makuzi na changamoto ya tabia ya ngono
  5. Elimu juu ya saikolojia na ujuzi wa mawasiliano
  6. Uzoefu wa mafunzo ya wafanyakazi wa mitaani ya "Vua viatu vyako"

Kufanya kazi na watoto walio katika mazingira magumu hasa watoto wa mitaani nimejifunza na ninaamini kuwa mabadiliko hutokea endapo watu wanapewa mwongozo wanaohitaji kutambua juu ya uwezo wao wenyewe na kutambua uwezo wao wa kuishi na kutimiza ndoto zao, maisha ya furaha. Kwa hiyo, ikiwa watoto wa mitaani watapatiwa mazingira rafiki, mwongozo na msaada kupambana na hali zao itasaidia watu na familia kushinda vikwazo na kuendelea mbele na kufanikiwa zaidi.

Christinata anaendelea kutafuta ujuzi zaidi na kupanua elimu juu ya maeneo ya ushauri ili kujifunza mbinu mpya za jinsi ya kujumuika na watoto na vijana walioathirika na mazingira ya mtaani na jinsi ya kubadilisha tabia zao.

Habari za Hivi Karibuni

  • March 2019 Twee weken lang acties voor Upendo Daima bij Montessori school Tuinstad Schiebroek te Rotterdam. De tienjarige Ruben en zijn vrienden voelen zich nauw betrokken bij het wel e...
  • Januari 5, 2018 wafanyakazi wa UD walikwenda kwa hafla ya mapumziko na kuimarisha ushirikiano katika mwambao wa ziwa Victoria Mwanza panaitwa Avashi, yapata km 5 kutoka Malimbe Family. Lengo ...
  • Asanteni sanaMatokeo ya pili ya wafadhili wa riadha yaliyoandaliwa na wanafunzi kutoka katika shule ya Lise Meitner huko Moordeich Ujerumani yalizidi matarajio yaliyotegemewa:Wanafunzi 367 wa daras...
  • Octoba 28, 2017 Jina langu ni Mara le Mahieu Miaka minne iliyopita nilijiunga na Upendo Daima kama Mlei wa Misionari kutoka SMA. Ilikuwa fursa nzuri sana kwangu ya kufanya kazi na...

Back Home House

Malimbe Family