Upendo Daima - Mradi wa Watoto wa Mitaani Tanzania

["\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_1_20130225_1380602795.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_2_20130225_1915094524.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_3_20130225_1269161720.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_4_20130225_1203900127.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_5_20130225_1696649307.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_6_20130225_1470469504.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_7_20130225_1778566945.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_8_20130225_1522298131.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_9_20130225_1837204428.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_10_20130225_1305918366.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_11_20130225_1235579240.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_12_20130225_1103703416.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_13_20130225_1614865694.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_14_20130225_1269038727.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_15_20130225_1817561193.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_16_20130225_1232435165.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_17_20130225_1134651688.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/teambuilding2_1_20180221_1520592193.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/teambuilding_1_20180221_2070968253.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_1_20180221_1377088869.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_2_20180221_1506278386.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_3_20180221_1738804695.jpg"]

Kwa Heri Mara le Mahieu

Octoba 28, 2017

Jina langu ni Mara le Mahieu

Miaka minne iliyopita nilijiunga na Upendo Daima kama Mlei wa Misionari kutoka SMA.

Ilikuwa fursa nzuri sana kwangu ya kufanya kazi na watoto na wafanyakazi kutoka Upendo Daima. Wote wamefanya mimi kujisikia nipo  nyumbani, tangu siku ya kwanza ambapo sikujua maneno mengi  ya Kiswahili zaidi ya "Hello" (jambo) na "Thank you" (Asante).

  Mara4 mara5 mara6

Nikiwa Upendo Daima nimefanya kazi katika majukumu mbalimbali. Nilianza kama msaidizi wa ofisi na mwalimu kwa watoto. Baada ya muda mfupi, majukumu yangu yalibadilika zaidi kwa kazi ya ofisi, kama vile ufuatiliaji na tathmini, mawasiliano, kuandika maandiko mradi, nk. Lakini daima kuna muda wa kufanya kazi na watoto, si kwa maana ya ushauri (kwa kuwa wafanyakazi wetu wa Tanzania wana uzoefu maalumu na uwezo wa kuwasiliana na watoto wa mtaani kama watoto wao kwa kuwapenda bila kikomo (Upendo Daima) na kuwapa uwezo na ujasiri katika kujitegemea na kujivunia.

Nimejifunza mengi kutoka kwa watoto, kuhusu kuwa na nguvu na kutoruhusu hisia hasi na mambo mabaya kuathiri maisha yako kwa kiasi lakini pia kuchukua hatua nzuri  kupambana na kesi ya kuondoka nyumbani kwao  ili kupata maisha bora pamoja  na kulazimisha wazazi wao kutafakari majukumu yao kama wazazi). Pia nilijifunza mengi kutoka kwa wafanyakazi wa Upendo Daima Tanzania, jinsi ya kukabiliana na matatizo mengi, pamoja na serikali, kwa kuwa na uvumilivu na kuamini kwamba vitu vyote vitafanyika kwa wakati sahihi (ambapo mara zote hufanyika, ingawa si kama vile ulivyopanga mwanzo). Pia walinipa uelewa mdogo katika utamaduni wa Tanzania na kwa nini mambo fulani yamefanyika kwa njia ya inayofanywa (hii ilinisaidia sana hasa pale unapoangalia hali kutokana na mtazamo wako) na kwa umuhimu wa mahusiano binafsi.

Mambo ambayo nimejifunza hapa nitachukua pamoja nami kurudi Uholanzi. Itakuwa vigumu kwenda na nina uhakika nitawakumbuka sana na kuwakosa kila mtu mmoja kwa upekee wake. Lakini kama vile tunavyopenda na tunataka watoto wetu kwenda nyumbani ili kuwa na familia zao, ni wakati sasa nami kwenda nyumbani na kuwa pamoja na familia yangu.

 

 

 

Habari za Hivi Karibuni

  • March 2019 Twee weken lang acties voor Upendo Daima bij Montessori school Tuinstad Schiebroek te Rotterdam. De tienjarige Ruben en zijn vrienden voelen zich nauw betrokken bij het wel e...
  • Januari 5, 2018 wafanyakazi wa UD walikwenda kwa hafla ya mapumziko na kuimarisha ushirikiano katika mwambao wa ziwa Victoria Mwanza panaitwa Avashi, yapata km 5 kutoka Malimbe Family. Lengo ...
  • Asanteni sanaMatokeo ya pili ya wafadhili wa riadha yaliyoandaliwa na wanafunzi kutoka katika shule ya Lise Meitner huko Moordeich Ujerumani yalizidi matarajio yaliyotegemewa:Wanafunzi 367 wa daras...
  • Octoba 28, 2017 Jina langu ni Mara le Mahieu Miaka minne iliyopita nilijiunga na Upendo Daima kama Mlei wa Misionari kutoka SMA. Ilikuwa fursa nzuri sana kwangu ya kufanya kazi na...

Back Home House

Malimbe Family