Upendo Daima - Mradi wa Watoto wa Mitaani Tanzania

["\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_1_20130225_1380602795.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_2_20130225_1915094524.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_3_20130225_1269161720.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_4_20130225_1203900127.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_5_20130225_1696649307.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_6_20130225_1470469504.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_7_20130225_1778566945.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_8_20130225_1522298131.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_9_20130225_1837204428.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_10_20130225_1305918366.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_11_20130225_1235579240.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_12_20130225_1103703416.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_13_20130225_1614865694.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_14_20130225_1269038727.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_15_20130225_1817561193.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_16_20130225_1232435165.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/slideshow_17_20130225_1134651688.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/teambuilding2_1_20180221_1520592193.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/teambuilding_1_20180221_2070968253.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_1_20180221_1377088869.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_2_20180221_1506278386.jpg","\/images\/joomgallery\/details\/slideshow_2\/homevisit_3_20180221_1738804695.jpg"]

Mashirika ya Wafadhili na Washirika

Katika kipindi cha miaka michache iliyopita tumepokea misaada mbalimbali kutoka kwa mashirika mengi. Cordaid imesaidia mradi kwa miaka mingi na tunatumaini wataendelea kufanya hivyo kwa miaka ijayo. Duka la vitabu mitumba "De Boekenlegger " lililoko Tiel hutupatia sehemu kubwa ya faida itakonayo na mauzo ya vitabu. Shule nyingi, makanisa, makampuni na watu binafsi nchini Uholanzi huchangia fedha ili kuwajengea watoto maisha mazuri ya baadaye.

Miaka iliyopita tumepokea pia msaada kutoka shirika la Johannes Stichting, KerkinActie, Univé, Albert Schweitzer Fonds , de Ziekenfondsbode , MIVA, Spelenderwijs naar Tanzania, Eureka Achmea, de Stichting Tafadhali na Goede Doelen Winkel Delft.

Nchini Tanzania, shirika lina mawasiliano na serikali ya mkoa wan a jiji la Mwanza na pia serikali za Ireland, Italia, Ujerumani, kwa mfano Mwanza Verein e.V iliyoko Würzburg. Upendo Daima Nederland linawasiliana na mashirika mbalimbali nchini Uholanzi.

Mtandao wa wafadhili na mashirika rafiki:

De Boekenlegger

Duka la vitabu Tiel huipatia Upendo Daima faida yote ya mauzo

www.shalomconflictcenter.org

The Shalom Centre for Conflict Resolution and Reconciliation

Tafadhali

Linasaidia Upendo Daima

Mwanza Verein Würzburg

Miji dada Mwanza na Würzburg

Sociëteit voor Afrikaanse Missiën

Humsaidia Marga van Barschot

Better Care Network

Mtandao wa mashirika ya kusaidia watoto wasio na matunzo ya kutosha kutokakwa wazazi

Biological Solutions

Recycled content disposables

't Goeie Doelen Winkeltje – Delft

Secondhand shop in Delft that supports Upendo Daima

www.railwaychildren.org.uk

Railway Children is an international children's charity. We fight for vulnerable children who live alone at risk on the streets, where they suffer abuse and exploitation. In the UK, society often denies their existence, and in other countries the problem is so prevalent that it has become ‘normal’.

www.youbedo.com

Same books. Same price. 10% of your purchase goes to charity of your choice!

www.wildeganzen.nl

Reduce poverty! Support small-scale projects around the world

Habari za Hivi Karibuni

  • March 2019 Twee weken lang acties voor Upendo Daima bij Montessori school Tuinstad Schiebroek te Rotterdam. De tienjarige Ruben en zijn vrienden voelen zich nauw betrokken bij het wel e...
  • Januari 5, 2018 wafanyakazi wa UD walikwenda kwa hafla ya mapumziko na kuimarisha ushirikiano katika mwambao wa ziwa Victoria Mwanza panaitwa Avashi, yapata km 5 kutoka Malimbe Family. Lengo ...
  • Asanteni sanaMatokeo ya pili ya wafadhili wa riadha yaliyoandaliwa na wanafunzi kutoka katika shule ya Lise Meitner huko Moordeich Ujerumani yalizidi matarajio yaliyotegemewa:Wanafunzi 367 wa daras...
  • Octoba 28, 2017 Jina langu ni Mara le Mahieu Miaka minne iliyopita nilijiunga na Upendo Daima kama Mlei wa Misionari kutoka SMA. Ilikuwa fursa nzuri sana kwangu ya kufanya kazi na...

Back Home House

Malimbe Family