saidia mradu huu
Ili Upendo Daima iweze kusaidia watoto wa mitaani kikamilifu michango kutoka kwa wafadhili ni mhimu sana. Tumekuwa na uwezo wa kusaidia na kutunza watoto zaidi ya 160 kwa mwaka kwa zaidi ya miaka 10 sasa.
Ungependa pia kuwa mfadhili na kuunga mkono shughuli za Upendo Daima? Tafadhali changia katika akaunti ya benki NL55 –RABO– 010.22.27.365 kwa jina la Stichting Upendo Daima Nederland.
Kama ungependa kuchangia kiasi kadhaa kila mwezi, basi bonyeza hapa kutuidhinisha kuchukua kiasi hicho kila mwezi kutoka kwenye akaunti yako. Euro 45 kwa mwezi, kwa mfano, hudhamini mtoto mmoja Malimbe familia, ikiwa ni pamoja na ada za shule, sare na huduma ya matibabu.
Asante sana!